Rais Dkt.Mwinyi atembelea banda la BoT maonesho ya taasisi za Muungano kuelekea miaka 60

ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, akiambatana za viongozi mbalimbali ametembelea banda la Benki Kuu ya Tanzania katika Maonesho maalum ya taasisi za Muungano yanayofanyika katika viwanja vya Maonesho ya Biashara, Nyamanzi visiwani Zanzibar.
Maonesho hayo ambayo ni sehemu ya Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika tarehe 26 Aprili 2024, yanatoa fursa ya kukuza uelewa wa wananchi kuhusu kazi za Benki Kuu.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news