Waziri Mkuu Majaliwa aongoza kikao cha Wabunge wote


Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni, kulia kwake ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson, kushoto kwake ni Naibu Spika Mhe. Mussa Azan Zungu, wa kwanza kushoto ni Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko na wa kwanza kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista Mhagama tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akiongoza Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Baadhi ya washiriki wa Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma, ulioongozwa na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Tulia Ackson akizungumza wakati Mkutano wa Wabunge wote uliofanyika katika ukumbi wa Mikutano wa Msekwa bungeni tarehe 02 Aprili, 2024 Jijini Dodoma. (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU).

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news