Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 3,2024

MARA-Afisa Kilimo wa Kata ya Neruma katika Wilaya ya Bunda mkoani Mara, Julius Rubambi (38), ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa mapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen (36) akijeruhiwa vibaya na kulazwa katika Hospitali ya Kibara.







Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news