Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 23,2024

KILIMANJARO-Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IJP Camillus Wambura amewavalisha Nishani maafisa, wakaguzi na askari wa vyeo mbalimbali wa mikoa ya Kanda ya Kaskazini ikihusisha Mkoa wa Tanga, Kilimanjaro, Arusha na Manyara kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan.
Ni katika hafla iliyofanyika Shule ya Polisi Moshi mkoani Kilimanjaro Mei 22,2024 ambapo Nishani hizo walipewa na Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan wakati wa sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano wa Tanzania.
Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news