Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 24,2024

LINDI-Mahakama ya Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi imemuhukumu, Yasini Hasani Wasiwasi mwenye umri wa miaka 19 mkazi wa Kinjumbi Kilwa kwenda jela kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kubaka ntoto mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Somanga Kilwa.
Mtuhumiwa alitenda kosa hilo Februari 12, 2024 huko Somanga Kilwa na kufunguliwa jinai namba 77/2024 katika Mahakama ya Wilaya ya Kilwa.

Akisoma hukumu hiyo, Hakimu Alice Mkasela amesema, Mahakama imejiridhisha na ushahidi uliotolewa na Jamhuri na kumkuta na hatia, hivyo imetoa hukumu hiyo ili iwe fundisho kwa wengine wanaojihusisha na vitendo hivyo.


Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news