Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Mei 22,2024

TEHRAN-Mwendesha Mashtaka Mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Mohammad Kazem Movahhed Azad ameagiza watu wote wanaomtukana kwenye mitandao ya kijamii, aliyekuwa Rais wa nchi nchi hiyo Ebrahim Raisi aliyefariki katika ajali ya helikopta, wachukuliwe hatua kali.
Mohammad ametoa wito huo baada ya baadhi ya watu kuanza kuchapisha jumbe kupitia mitandao ya kijamii wakieleza furaha yao juu ya kifo cha Rais Ebrahim Raisi huku wengine wakisisitiza kuwa alihusika katika mauaji ya maelfu ya wafungwa wa kisiasa, miaka ya 1980 pamoja na kukandamiza kwa nguvu maandamano ya kuipinga Serikali nchini humo.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news