Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Juni 14,2024

DODOMA-Serikali imeliomba Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuidhinisha bajeti ya shilingi trilioni 49.35 kwa mwaka 2024/25 ili kwenda kujenga uchumi shindani na viwanda kwa maendeleo ya watu.
"Niendelee kuwasisitiza Maafisa Masuuli kuzingatia Waraka wa Mkuu wa Utumishi wa Umma Na. 2 wa mwaka 2021 kuhusu utaratibu wa kutumia magari, aina na stahili za magari kwa viongozi katika utumishi wa umma kwa lengo la kupunguza matumizi.

"Aidha, hatua nyingine zitakazochukuliwa ni pamoja na kupunguza safari za ndani na nje na kupunguza ukubwa wa uwakilishi kwenye mikutano ya ndani na nje ya nchi. Endelea hapa》》》

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news