DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt.Samia Suluhu Hassan leo Juni 11,2024 Ikulu jijini Dar es Salaam anatarajiwa kupokea gawio na michango kutoka wakala,taasisi,mashirika ya umma na kampuni ambazo Serikali ina hisa chache.
Tags
Dr Samia Suluhu Hassan
Habari
Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita
Ofisi ya Msajili wa Hazina