ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt.Hussein Ali Mwinyi amewataka wananchi kutunza mazingira na kuweka haiba ya mji kuwa safi.
Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo leo Julai 15, 2024 alipofungua Bustani ya Mnazi Mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.
Rais Dkt.Mwinyi ameyasema hayo leo Julai 15, 2024 alipofungua Bustani ya Mnazi Mmoja Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.