DODOMA-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameongoza Taifa katika Maadhimisho ya Siku ya kumbukumbu ya Mashujaa, katika uwanja wa Mashujaa Mji wa Serikali Mtumba tarehe 25 Julai, 2024 jijini Dodoma.