MAPUTO-Aprili 26,2025 Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Msumbiji ambaye pia anawakilisha mataifa ya Madagascar na Eswatini, CP Hamad Khamis Hamad amefanya mazungumzo na Diaspora wa Tanzania waliopo Maputo wakati wa maadhimisho ya Miaka 61 ya Muungano yaliyofanyika kwenye Ubalozi wa Tanzania, Maputo.
