WASWAHILI husema kutongoza ni aina nyingine ya sanaa ambayo inahitaji ujuzi pia, kwa kawaida wanawake wanahitaji na kupenda maneno matamu yenye ushawishi kutoka kwa wanaume.
Hata hivyo, sio wanaume wote wanaweza kufanya kitendo hicho cha ujasiri, wengi huishia kukaa kimya na hitaji lao moyoni, wengi huwaita wanaume wa namna hiyo domo zege.

Lakini,kuna wanaume ambao wana ujasiri wa kutosha lakini imekuwa ni ngumu kwao kukubaliwa na wanawake warembo wale ambao wanapenda. Mimi pia nilikuwa na changamoto hiyo, kila mrembo ambaye nilikuwa nasimama...SOMA ZAIDI HAPA