NAITWA Jesca kutoka Tanga, nilikuwa na uhusiano na kaka mmoja, tulikubaliana nikishabeba ujauzito ataenda kwetu kwa ajili ya kujitambulisha, lakini mpaka najifungua alikuwa ananisumbua wala sikumuona kwetu.
Basi tukawa tunagombana sana, katika kugombana mara kwa mara alikuwa ananiambia tuachane, mimi nilichukulia poa kwani ni mtu niliyekuwa namuamini kuwa hawezi kuniacha, nilikuwa namuona kama mume wangu.

Baada ya kujifungua nilimbembeleza sana kuja kumuona mtoto ila alikuwa ananizungusha, nikajikuta naumia sana na kuzidisha kisirani kwani huko nyuma ni mtu aliyekuwa anapenda sana watoto.
Yaani anakuongelea kuhusu kuzaa kila siku ila nilipobeba mimba ndiyo akabadilika na hapo ndipo nikaamua kumuachia....SOMA ZAIDI HAPA