Mbinu ya kurejesha penzi la zamani

KWA sasa mimi ni binti wa miaka 27, nilikuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi na Zack, kijana mtanashati aliyependeza ajabu.

Mbali na hilo, alikuwa mtu ambaye anajituma na mwenye bidii katika kazi.

Alifanya kazi ya upishi katika Hoteli moja Dar es Salaam, aliwahi kuniambia kuwa utanashati wake ndio uliofanikisha kuajiriwa katika Hoteli ile ya kifahari.
Tulichumbiana kwa muda pia naye akiwa amefurahishwa na mambo yangu, sio urembo na sauti nyororo. Katika mchezo wa kitanda hakuwa limbukeni kwani ni alikuwa Bingwa kila wakati tulipokuwa na mchuano.

Dada yeyote aliyemkaribia nisingekubali kwani nilikuwa na mipango mingi na Zack.Hali ilikuwa shwari kwani mapenzi yetu yalidumu kwa...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news