Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akiwasilisha mada kuhusu Muundo wa Ofisi hiyo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo yaliyofanyika mkoani Pwani.Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akiwasilisha mada kuhusu Muundo wa Ofisi hiyo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo yaliyofanyika mkoani Pwani.
Mhadhiri Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Ndugu Said Hassan akitoa mada kuhusu Maadili katika Utumishi wa Umma wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali yaliyofanyika mkoani Pwani.
Afisa Kumbukumbu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Athumani Zunda akitoa mada kuhusu Ofisi Mtandao (e-Office) wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo yaliyofanyika mkoani Pwani.
Baadhi ya waajiriwa wapya wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Mhadhiri Mkuu wa Idara ya Kumbukumbu, Nyaraka na Taarifa wa Chuo cha Utumishi wa Umma Tanzania, Ndugu Said Hassan (hayupo pichani) wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa hao yaliyofanyika mkoani Pwani.
Wakili wa Serikali wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Ndugu Ditrick Luambano akichangia mada kuhusu Muundo wa Ofisi hiyo wakati wa mafunzo elekezi kwa waajiriwa wapya wa Ofisi hiyo yaliyofanyika mkoani Pwani.
Tags
Habari
Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali
Picha
Picha Chaguo la Mhariri
Wakili Mkuu wa Serikali
Watumishi Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali









