Rais Dkt.Mwinyi afanya mazungumzo na mwigizaji maarufu wa filamu duniani
LONDON-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt.Hussein Ali Mwinyi amekutana na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani,Idris Elba jijini London leo Aprili 9,2025.