VIDEO:Kocha wa Manchester United,Ruben Amorim atuma salamu kwa Rais Samia
KOCHA wa Klabu ya Manchester United ya Uingereza, Ruben Amorim leo Aprili 11,2025 ametuma salamu kwa niaba ya wachezaji wa timu hiyo kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.