Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wapewa mafunzo kuhusu upimaji afya

Kaimu Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Vivin Method akizungumza na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati akifungua Mafunzo kuhusu Upimaji wa Afya yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi.Asha Hayeshi akitoa neno la utangulizi kwa watumishi wa ofisi hiyo wakati wa Mafunzo kuhusu upimaji wa afya yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yanayoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Dkt. Aisha Zukheri akitoa maada kuhusu Magonjwa yanayoambukiza wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa Kusimamia Magonjwa yasiyoambukiza wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, Dkt. Milka Mathania akitoa mada kuhusu Magonjwa yasiyoambukiza wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Kaimu Afisa Lishe wa Ofisi ya Mganga Mkuu wa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam,Bi. Neema Makasege akitoa mada kuhusu kuhusu Lishe na Afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakichangia mada kuhusu Lishe na Afya wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakifanya kipimo cha Shinikizo la Damu wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika jijini Dar es Salaam.

Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, wakimsikiliza Dkt. Dayana John wa Hospitali ya Mnazi Mmoja wakati wa zoezi la kupima afya kwa watumishi hao lililofanyika jijini Dar es Salaam.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news