ZANZIBAR-Mheshimiwa Hamad Khamis Hamad, Balozi wa Tanzania nchini Msumbiji amekutana na Mhe. Shaaban A. Othman, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Zanzibar na kuzungumza kuhusu maeneo yanayohitaji ushirikiano kati ya Msumbiji na Tanzania / Zanzibar ikiwemo; Uvuvi na Kilimo cha Baharini, Mafuta na Gesi.