Magazeti leo Mei 11,2025

Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amewakosoa waliokuwa viongozi wa chama hicho waliotangaza kuachana nacho hivi karibuni kwa kile walichodai ni kubaguliwa ndani ya chama hicho akisema viongozi hao walikataa kukutana na uongozi mpya katika vikao.
Akizungumza na wananchi mkoani Kagera, Mnyika amesema, baada ya uchaguzi wa ndani ya chama hicho uliofanyika mwezi Januari mwaka huu waliamua kuitisha vikao na viongozi wastaafu lakini baadhi yao waliwakatalia kufika katika vikao hivyo wakitaka waachwe wapumzike.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news