Wafanyabiashara 112 Soko la Kariakoo wapewa siku saba
DAR-Shirika la Masoko ya Kariakoo jijini Dar es Salaam limewakumbusha wafanyabiashara 112 wanaotarajia kurejea sokoni Kariakoo na wenye madeni ambayo bado hawajalipa kuyalipa ndani ya siku saba kuanzia leo Mei 23,2025.