Waziri Lukuvi na viongozi mbalimbali katika maandalizi ya kushiriki ibada ya kumuombea na kuaga mwili wa Hayati Cleopa David Msuya

KILIMANJARO-Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Wiliam Lukuvi pamoja na viongozi mbalimbali katika maandalizi ya kushiriki ibada ya kumuombea na kuaga Mwili wa aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais na Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Cleopa David Msuya leo Mei 13, 2025.
Ibada hiyo itafanyika katika Kanisa la KKKT Kristo Mchungaji Mwema; Dayosisi ya Mwanga, Jimbo la Kaskazini, Usharika wa Usangi Kivindu, Usangi, Wilaya ya Mwanga, mkoani Kilimanjaro

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news