Exchange Rates:Viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni leo Juni 13,2025

NA GODFREY NNKO

LEO Paundi ya Uingereza (GBP) inanunuliwa kwa shilingi 3487.39 na kuuzwa kwa shilingi 3523.56 huku Franka ya Rwanda (RWF) ikinunuliwa kwa shilingi 1.78 na kuuzwa kwa shilingi 1.83.
Hayo ni kwa mujibu wa taarifa ya viwango elekezi vya kubadilisha fedha za kigeni iliyotolewa leo Juni 13,2025 na Benki Kuu ya Tanzania (BoT).

Shilingi ya Uganda (UGX) inanunuliwa kwa shilingi 0.69 na kuuzwa kwa shilingi 0.72 huku Franka ya Burundi (BIF) ikinunuliwa kwa shilingi 0.86 na kuuzwa kwa shilingi 0.86.

Dola ya Marekani (USD) inanunuliwa kwa shilingi 2562.38 na kuuzwa kwa shilingi 2588 huku Dinar ya Kuwait (KWD) ikinunuliwa kwa shilingi 8383.09 na kuuzwa kwa shilingi 8464.15.

Dola ya Canada (CAD) inanunuliwa kwa shilingi 1881.19 na kuuzwa kwa shilingi 1899.87 huku Fraka ya Uswisi (CHF) ikinunuliwa kwa shilingi 3159.92 na kuuzwa kwa shilingi 3189.55.

Foreign Exchange Rates in United Republic of Tanzania today June 13th,2025;
S/NOCurrencyBuyingSellingMeanTransaction Date
1AED697.8149704.6011701.20813-Jun-25
2ATS164.4277165.8847165.156213-Jun-25
3AUD1672.20671689.70521680.95613-Jun-25
4BEF56.087956.584456.336113-Jun-25
5BIF0.86290.85840.860613-Jun-25
6CAD1881.19541899.86791890.531613-Jun-25
7CHF3159.91643189.54893174.732713-Jun-25
8CNY357.3348360.8779359.106413-Jun-25
9DEM1026.71641167.081096.898213-Jun-25
10DKK398.9625402.9019400.932213-Jun-25
11ESP13.598613.718513.658513-Jun-25
12EUR2975.43133005.70322990.567213-Jun-25
13FIM380.5359383.9079382.221913-Jun-25
14FRF344.9293347.9804346.454913-Jun-25
15GBP3487.39413523.5623505.47813-Jun-25
16HKD326.4589329.7193328.089113-Jun-25
17INR29.962730.242830.102713-Jun-25
18ITL1.16851.17891.173713-Jun-25
19JPY17.886218.063817.97513-Jun-25
20KES19.86342019.931713-Jun-25
21KRW1.89551.91351.904513-Jun-25
22KWD8383.09318464.15498423.62413-Jun-25
23MWK1.3731.4781.425513-Jun-25
24MYR607.6301612.5444610.087313-Jun-25
25MZM39.776140.111639.943813-Jun-25
26NLG1026.71641035.82151031.26913-Jun-25
27NOK257.7714260.0299258.900713-Jun-25
28NZD1553.56871570.13961561.854213-Jun-25
29PKR8.61689.15468.885713-Jun-25
30RWF1.78481.83331.80913-Jun-25
31SAR683.0453689.839686.442213-Jun-25
32SDR3485.72823520.58553503.156913-Jun-25
33SEK272.8138275.4686274.141213-Jun-25
34SGD2006.40222025.19762015.799913-Jun-25
35UGX0.68640.72010.703213-Jun-25
36USD2562.376225882575.188113-Jun-25
37GOLD8682791.2488771275.488727033.36413-Jun-25
38ZAR144.1789145.5871144.88313-Jun-25
39ZMW100.7297104.6714102.700513-Jun-25
40ZWD0.47950.48920.484313-Jun-25

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news