Mbinu rahisi ya kuinua biashara, asimulia jinsi Hoteli yake ilivyoanza kuchuma mapato tele
AMA kwa hakika huwa ni ndoto ya kila mfanyabiashara kujiendeleza na kufanya biashara ambayo itamletea faida kila wakati katika hali yoyote ile. Hii ilikuwa tofauti sana kulingana na biashara yetu ya hoteli.
Kwa jina ni Milkah, mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hoteli katikati ya jiji na mara nyingi biashara ile haikuwa na mafanikio yeyote.
Faida tuliyotarajia kutokana na biashara ile ilikuwa ni finyu sana na kwa mara nyingi tulijiuliza ni vipi tungeweza kufanya ili biashara yetu ifike viwango vya biashara nyinginezo zilizokuwepo kando yetu.

Mume wangu kila siku alikuwa akijitia moyo kwamba biashara ile ingenawiri pakubwa, lakini jinsi siku zilivyosonga, ndivyo mambo yalivyokuwa hata mabaya zaidi.
Sikuwa na jambo jingine la kufanya ila kuendelea na biashara ile kwani nilikuwa na imani kwamba mambo yangebadilika. Ama kwa hakika mambo hayakuwa mazuri upande wetu kibiashara...SOMA ZAIDI HAPA
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo