NAITWA Mama Suma kutokea Rombo, niliolewa mwaka 2019, mimi na mume wangu tunapendana sana ila kuna jambo fulani kipindi cha katikati karibia livunje ndoa yetu.
alo ni kwamba mume wangu ilikuwa anasusa kula chakula cha usiku, yaani kila nikitaka kumpa haki yake ya ndoa alikuwa anasema amechoka, mara hajisikiii, basi ni limradi tu asishiriki tendo hilo.
Nilikuwa na wasiwasi mkubwa sana na mashaka mengi, nilisema huyo atakuwa na mpango wa kando huko nje ambao unampatia mapenzi ya kutosha, hivyo akija kwangu anakuwa hana hamu tena.

Usiku mmoja niliamua kumuuliza kuhusu hilo, alikataa kabisa kuwa mpango wa kando, lakini nikamwambia anipatie haki yangu hakuwa tayari kufanya hivyo.
Ndipo kakachoka hali hiyo na kuamua kuchukua vitu vyangu na kurudi kwa wazazi wangu maana sikuona sababu ya kuendelea kuishi na mwanaume ambaye hanitumiziii mahitaji yangu ya kindoa.
Nilikaa kwa wazazi wangu miezi mitatu, ndipo mume wangu alikuja nyumbani kwetu kunibembeleza nirudi nyumbani, nilimkatalia kabisa na kusema siwezi hadi pale ambapo atakuwa ananitimizia...
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo