Magazeti leo Juni 3,2025



Alikuwa anahisi anabakwa na majini kila usiku hadi alipoondoa mzigo wa ndoto mbaya zilizomtesa

KWA muda wa miaka miwili, maisha yangu yalikuwa kama mateso ya adhabu isiyo na mwisho. Kila nilipofunga macho usiku, nilijikuta katika ndoto mbaya zinazofanana nilikuwa ninalazimishwa kimwili na viumbe visivyoonekana.

Nilihisi kama nimeshikwa, nimebanwa, na siwezi kupumua. Nilipoamka, nilikuwa na maumivu halisi mwilini, hasa kwenye mapaja na mgongo kana kwamba kile kilichotokea usingizini kilikuwa cha kweli kabisa.
Hali hii ilinikosesha raha, nikaanza kuwa na woga wa kulala. Kila usiku ulipofika, nilijawa na hofu badala ya utulivu.

Wakati mwingine nilisikia sauti chumbani zikininong’oneza majina, mara nyingine nilisikia milango ikigongwagongwa au viti vikisogezwa bila mtu yeyote. Wakati huo nilikuwa naishi peke yangu, hivyo hali ile ilinifanya nihisi nime...SOMA ZAIDI HAPA

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news