Msimamo wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa Juni 22,2025
DAR-Kwa sasa, Kariakoo Derby ndiyo inayosubiriwa kuamua Bingwa wa Ligi Kuu ya NBC Tanzania Bara kwa msimu wa mwaka 2024/2025 ambapo watani wa jadi Simba na Yanga SC watavaana Juni 25,2025 katika Simba la Benjamin Mkapa lililopo jijini Dar es Salaam.