DAR-Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Juni 22,2025 ameongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.Kikao hicho kimeongozw na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Ikulu (Kazi Maalum), Mheshimiwa George Mkuchika akishiriki Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akiwa kwenye kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,Mheshimiwa Johari Hamza (kushoto) akiwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa kwanza kushoto), Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa na Naibu Waziri wa Nishati, Mheshimiwa Judith Kapinga wakiwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu leo.
Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Dkt.Mwigulu Nchemba (kulia) akitea jambo na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma,Mheshimiwa George Simbachawene wakati wa kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi,Vijana,Ajira na Wenye Ulemavu, Mhe. Ridhiwani Kikwete (wa kwanza kushoto), Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mheshimiwa Jerry Silaa wakiwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu leo.
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo akiwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,Mheshimiwa Deogratius Ndejembi (kushoto) na Waziri wa Ujenzi,Mheshimiwa Abdallah Ulega wakiwa katika kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Waziri wa Afya,Mheshimiwa Jenista Mhagama (kushoto) akiteta jamba na Waziri wa Maliasili na Utalii,Mheshimiwa Balozi Dkt.Pindi Chana.