DAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi ameshiriki katika Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es Salaam tarehe 22 Juni, 2025.
Kikao hicho kimeoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt Samia Suluhu Hassan.







