Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa NEC, kilichofanyika Afisi Kuu CCM Kisiwandui Zanzibar tarehe 13 Julai 2025.




