DAR-Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini zitakazotumika kuanzia Jumanne ya tarehe 1 Julai 2025 saa 6:01 usiku sawia na Sheria ya Fedha ya Mwaka 2025 ambayo itaanza kutumika kuanzia tarehe 1 Julai 2025.
Kwa mwezi Julai 2025, bei za rejareja na za jumla katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia;
Kwa mwezi Julai 2025, bei za rejareja na za jumla katika mikoa ya Dar es Salaam, Tanga na Mtwara ni kama zinavyoonekana katika Jedwali Na. 1 na 2, mtawalia;