Dkt.Hussein Ali Mwinyi ambaye anaungwa mkono kwa kishindo, ameendelea kuwa kiongozi mwenye dira, anayejali maendeleo ya wananchi na anayeheshimu misingi ya uwazi, uwajibikaji na ushirikishwaji wa wananchi katika kila hatua ya maendeleo.
.jpg)
.jpg)
Kwa umoja na mshikamano uliodhihirika huko Nungwi, ujumbe umetumwa wazi kuwa wananchi wako tayari kuendelea kuijenga Zanzibar kwa msingi wa amani, maendeleo na usawa chini ya Dkt.Mwinyi kupitia CCM.
#ChaguaCCM ✅
#ChaguaDktMwinyi ✅
#UongoziUnaoachaAlama✅
