HomeHabari REA ndani ya Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini Wakala wa Nishati Vijijini (REA), tunashiriki katika Maonesho ya Nane ya Kitaifa ya Teknolojia ya Madini.Maonesho yanafanyika katika viwanja vya Maonesho vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bombambili mkoani Geita.KARIBU TUKUHUDUMIE Tags Habari Maonesho ya Madini Geita REA Tanzania Facebook Twitter