HomeHabari Wizara ya Fedha:Je, unafahamu Mnyororo wa Ugavi ni kitu gani? Mnyororo wa ugavi ni mtangamano wa shughuli za ununuzi, ugomboaji, upokeaji, urejeshaji, utunzaji, uhifadhi na matumizi, usambazaji na uondoaji wa bidhaa, vifaa au mali za umma. Tags Habari Mnyororo wa Ugavi Wizara ya Fedha Tanzania Facebook Twitter