ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemteua Ndugu Haji Mohamed Haji kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Serikali Mtandao Zanzibar (e-GAZ). Uteuzi huu umeanza rasmi tarehe 26 Novemba, 2025.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi.
