Timu ya Taifa Stars imeanza vibaya michuano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2025), baada ya kufungwa mabao 2-1 na Nigeria ‘Super Eagles’ katika mchezo uliopigwa Desemba 23,2025 katika Uwanja wa Complexe Sportif de Fes nchini Morocco.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo





















