Mabingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Young Africans Sports Club, wamefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Namungo FC katika mchezo wa Ligi Kuu uliochezwa kwenye Uwanja wa Namungo.
Bao pekee la mchezo huo lilifungwa dakika ya 25 na nyota mpya wa Yanga, Laurindo Aurelio (Depu), na kuipa timu hiyo pointi tatu muhimu.
Tags
Kurasa za Magazeti
Kurasa za Mbele na Nyuma za Magazeti
Magazeti
Magazeti ya Leo
Magazetini
Magazetini leo
Yaliyojiri Magazetini Leo































