Magazeti leo Aprili 21,2026

Mbunge wa Viti Maalumu kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mary Daniel Surati, ameshauri kuanzishwa kwa benki maalumu ya vijana ili kukabiliana na changamoto za kifedha zinazowakabili kundi hilo nchini.Surati ametoa ushauri huo bungeni jijini Dodoma wakati akichangia makadirio ya matumizi ya Ofisi ya Rais Maendeleo ya Vijana kwa mwaka wa fedha 2026/2027.

‎Amesisitiza kuwa uwepo wa benki hiyo utasaidia kuongeza uelewa wa masuala ya kifedha kwa vijana, kuboresha upatikanaji wa mikopo nafuu, na hatimaye kuchochea maendeleo ya kiuchumi kwa kundi hilo muhimu katika jamii.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here