Tanzania na Slovakia kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kidiplomasia

DODOMA-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, Aprili 13, 2026, amefanya mazungumzo na Balozi wa Slovakia nchini, Mhe. Ivan Lančarič, katika ofisi yake iliyopo Bungeni jijini Dodoma.
Mazungumzo hayo yamelenga kuimarisha uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi, pamoja na kupanua wigo wa ushirikiano kati ya Tanzania na Slovakia katika nyanja mbalimbali za maendeleo.
Katika mazungumzo hayo, pande zote mbili zimekubaliana kuendeleza na kuimarisha ushirikiano katika sekta za uchumi, elimu, teknolojia, nishati na uwekezaji.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here