DODOMA-Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma kwa ajili ya uwasilishaji wa bajeti ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2026/2027.Uwasilishaji huo unafanyika leo Mei 7 na bajeti itajadiliwa hadi kesho Mei 8, 2026.Waziri Mkenda ameongozana na binti yake, Miyanda Mkenda.






