DODOMA-Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu L. Nchemba (Mb) akijadiliana jambo na Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari, wakati wa Hotuba ya Bajeti ya Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Maji inayoendelea katika Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania jijini Dodoma.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali amehudhuria Bunge la 13, Mkutano wa 3, Kikao cha 23 Bungeni jini, Dodoma tarehe 6 Mei, 2026.
