Waziri wa Elimu awasili bungeni, leo ni bajeti ya kupaisha Sekta ya Elimu nchini
DODOMA-Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia,Mhe. Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo Mei 7,2026 atawasilisha makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027.