DODOMA-Taarifa muhimu kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kuhusu kikao kazi cha Mwanasheria Mkuu wa Serikali na wakurugenzi,wakuu wa idara na vitengo vya huduma za sheria serikalini kitakachofanyika Julai 14,2026 katika Ukumbi wa AICC jijini Arusha.
