ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Alhaj Dkt.Hussein Ali Mwinyi leo Agosti 28,2026 amewatakia wananchi wote Jummah Mubarak huku akisisitiza kuwa, Ijumaa ni fursa ya kutafakari,kusameheana na kurejea katika wema.
