Makonda awasili Mwanza: Kukagua miradi ya maendeleo siku 4 kuanzia Oktoba 12, 2026

MWANZA-Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Paul Christian Makonda leo Oktoba 12, 2026 amewasili mkoani Mwanza kwa ziara ya kikazi ya siku nne yenye lengo la kukagua utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa mkoani humo.
Waziri Paul Makonda (kulia) akiwa katika ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Kwanza leo Oktoba 12, 2026.

Mhe. Makonda anafanya ziara hiyo kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na amepokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Mhe. CP Salum Hamduni.

Katika ziara hiyo, Waziri Makonda anatarajiwa kukagua miradi ya maendeleo ili kufuatilia utekelezaji wake na kujionea hatua zilizofikiwa katika miradi hiyo mkoani Mwanza.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

Know matter how large or small your business is, advertising here