ZANZIBAR-Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mheshimiwa Dkt.Hussein Ali Mwinyi kesho Oktoba 3,2026 atazungumza na Wanahabari katika Ukumbi wa Ikulu Zanzibar kuanzia saa 5:00 asubuhi.
📍 Mahali: Ikulu, Zanzibar
🗓️ Tarehe: 03 Oktoba 2026
⏰ Saa: 5:00 Asubuhi
