Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini yakagua miradi ya ujenzi wa barabara Dodoma



Muonekano wa kalvat linalojengwa kuunganisha barabara za mzunguko katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.
Mtaalam wa ujenzi wa viwanja vya ndege, Mhandisi Focus Kadeghe akifafanua jambo kwa wahandisi kutoka Bodi ya Usajili wa Wahandisi nchini (ERB), walipokagua ukarabati wa kiwanja cha ndege cha Dodoma.
Muonekano wa barabara zinazojengwa kwa kiwango cha lami katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma.

Msajili wa Bodi ya Wahandisi nchini (ERB),Mhandisi Patrick Barozi akifafanua jambo alipokagua mradi wa ujenzi wa barabara katika mji wa Serikali Mtumba mkoani Dodoma leo Septemba 25,2020.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news