Utabiri wa hali ya hewa kwa saa 24 zijazo kuanzia saa 3:00 usiku wa leo Septemba 29,2020

 

Kwa mujibu wa Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA),maeneo ya Ukanda wa Ziwa Victoria na Magharibi mwa nchi yanatarajiwa kuwa na hali ya mawingu kiasi, mvua na ngurumo katika maeneo machache na vipindi vya jua.

No comments

Powered by Blogger.