Kocha wa Yanga SC Zlatko Krmpotic afutwa kazi



Uongozi wa Klabu ya Yanga SC umemfuta kazi kocha wake, Zlatko Krmpotic baada ya makubliano kati ya pande zote mbili, ambapo imemtakia mafanikio mema sehemu nyingine anayoelekea. Kocha Zlatko amehudumu kwa siku 37 pekee ndani ya klabu ya Yanga, anaripoti Mwandishi Diramakini.

Post a Comment

1 Comments

  1. Haya haya naona kumekucha, kwa hiyo ushindi wa tatu umemsindikiza Mzungu wa watu? Tusubirie yajayo.......

    ReplyDelete