Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo Aprili 26,2024

DAR ES SALAAM-Jumla ya shilingi bilioni 19.7 zitatumika kukarabati Uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Utamaduni Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa wakati wa kusaini mkataba wa kuanza kwa ukarabati wa uwanja huo.
Ukarabati huo utafanywa na kampuni ya China Railway Construction Engineering Group (CRCEG) ambapo watafanya kazi hiyo kwa kipindi cha miezi 12.

Diramakini

DIRAMAKINI is Tanzanian news media house established to play role in shaping the global agenda through telling true stories by delivering quick and in-depth.Our readers trust our coverage of the issues that matter most to them. Our agenda-setting journalism attracts. Contact us on diramakini@gmail.com OR +255 719 254 464.

Post a Comment

Previous Post Next Post

International news